Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #41
DaaaahHuyu dogo alipokuwa na mamlaka ya u - DC alikuwa jeuri bwana, acha kabisa..
Alikuwa na anavuna ambapo hakupanda kabisa..
Alikuwa anaweza kumfira na kumlawiti yeyote huko Arusha na Hai - Kilimanjaro...
Hapa anajisumbua bure tu. Yeye na Makonda KAMWE hawawezi kuwa viongozi - wabunge wa kuchaguliwa hawa, nipo hapa tutakuja kukumbushana...
Hawa ni wa kutumwa/kuteuliwa na bwana zao kwa kazi maalumu. Hawana sifa ya kuchaguliwa..!!
Dah hivi kupauka maana yake nn lbd mi sielew
Bi kizee ndo anawataka hawa ss hv. Subiri UoneSaivi atakatwa na mapanga na atafekwa na mawe akileta undezi wameru ni wakali sio hawa wadsr
Aiseeeee!!!Sabaya hafai. Jamaa alikuwa katili kupindukia tangu akiwa UVCCM. Maovu yake yaliyofika kwenye media ni machache kuliko ambayo hayakufika. Katia umaskini watu wengi wa Hai. Nilishangaa alipotaka kumharibia hadi kijana mwenzake Speshoz ambaye alikuwa anafungua kiwanda chake kidogo enzi hizo. Bahati nzuri speshoz naye alikuwa mtu wa kufuata utaratibu huku akiwa CONNECTED vizuri. Kuhusu kupauka sidhani maana hapo tu kaja na V8 kuchukua fomu.
Utaona utaaminiBi kizee ndo anawataka hawa ss hv. Subiri Uone
Mbona hzo kodi alikuwa anachukua hapo hapo kwa wameruSaivi atakatwa na mapanga na atafekwa na mawe akileta undezi wameru ni wakali sio hawa wadsr
Sio wameru ni hoteli za mt. Meru na nyingine kwanza hajawahi kuishi huko juuMbona hzo kodi alikuwa anachukua hapo hapo kwa wameru
Kwl we unamwa, we ni wale wanakufaga ghafla.Hivi vyeo vya kuteuliwa vinalemaza sana, huyu jamaa huwezi kuamini kama ndio yule aliyekuwa anavamia mahoteli ya watu na bunduki akiwa na magari yenye namba feki za UN huku akilindwa na polisi wa Tanzania.
Raia aliyekuwa anavaa sare za polisi akienda kutenda uhalifu huku akijifanya ofisa wa Usalama wa Taifa.
Hebu muangalie sasa akichukua fomu za kugombea ubunge kwa chama chakavu cha ccm, Kapauka ni balaa
View attachment 3390742
Nakala imfikie OCD Mpina Popote alipo
Usilolijua ukae kimya Arumeru Magharibi ni ya wamasai hakuna Mmeru kule, kwanza ujue babake ndiye mweyekiti wa CCM mkoa wa Arusha nani atamgusa? Wameru ni kabila dogo sana nchi hii wana jimbo moja tu la Arumeru Mashariki. Makabila yenye nguvu mikoa ya Arusha na Manyara ni Wamasai na Wairaqw kila kimoja ina majimbo 6 ya uchaguzi. Wamasai(Ngorongoro, Monduli, Longido, Arumeru Magharibi, Simanjiro na Kiteto) na Wairaqw(Karatu, Mbulu Mjini, Mbulu vijijini, Babati mjini, Babati vijijini na Hanang')Saivi atakatwa na mapanga na atafekwa na mawe akileta undezi wameru ni wakali sio hawa wadsr
Comments zinafanana na majina yao, jf bw.Mbona hzo kodi alikuwa anachukua hapo hapo kwa wameru