Maisha kwenye Mitandao ya Kijamii yapo tofauti sana

Joined
Mar 11, 2022
Posts
14
Reaction score
15
Maisha Kwenye Mitandao Ya Kijamii yapo Tofauti sana, Watu Wengi Wanaotumia Mitandao ya kijamii hupenda zaidi kuonyesha maisha yao kwenye mitandao kuwa wanaishi Vizuri na Unapowaona unaweza kudhani hawana Shida kabisa.

Lakini Ukweli ni Kwamba Wakabiriwa na Shida nyingi, japo wapo wachache wenye hayo maisha ya Raha kweli.

Changamoto Kubwa inaanzia pale Ambapo wewe unaanza kujiringanisha nao na kudhani labda wewe maisha yako ni ya Tabu sana.

Kamwe usifanye Kosa la kujiringanisha na watu hao kwenye Mitandao ya kijamii, Ishi maisha yako.

Hata kama hupati Like na Comments nyingi , haimaniishi wewe ni mtu usiye na mawazo mazuri au Sio Mzuri au handsome. Bali inawezekana kwako hivyo vitu sio muhimu kulingana na Malengo ya maisha yako.

Ishi Maisha yako, Simamia malengo yako, Mitandao ni jambo la Burudani tu.

Mitandao isikuchanganye.

Adobe_Express_20220712_1340260.7396138534356786.jpg
 
View attachment 2288517
Hii jf wataipeleka kule fb kuwa MDAU ametoa ushauri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom