Juzi nimepost thread yangu ya 2018 isikupite pasipokufanya huu uwekezaji ambayo inahusiana na fursa nzuri ya uwekezaji inayotolewa na kampuni ya Alliance in motion global lakini watu wengi walipinga. Fursa yenyewe inayotolewa ni biashara ya mtandao biashara ya ulimwengu wa sasa. Watu wanabisha wanagangani traditional business. Jamani kabla ya kuanzisha biashara tusome vitabu kama vya R.T. kiyosaki, Napolean, na wengine la sivyo tutafail kwenye biashara na kusema maisha magumuYaan ule usemi wa kuwa ni bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadam bongo yaan bongo kila nnacho kifanya kwangu kigum nimesoma Nursing ajira zikatoka sikubahatika kwangu kuchaguliwa basi sikuwa na noma nikatuma maombi baadhi ya dispensary sikubahatika kuitwa ikabidi nifanye utaratibu wa kujiajiri nikaomba mtaji kwa mama ka laki mbili hiv nkafungua kibanda cha chipsi dah! Sipati faida nadhani huku kwenye hii biashara tena sio chuma kimekazwa ni nondo imekunjwa kabisaaaaaa yaan nachakalika lakin sipati matunda.
we jamaa kuna watu wakuwapelekea huu upuuzi sio kwa watu kama sisi ambao vyuma vimekazia kona yetu na hatuna hata buku la grisi.Juzi nimepost thread yangu ya 2018 isikupite pasipokufanya huu uwekezaji ambayo inahusiana na fursa nzuri ya uwekezaji inayotolewa na kampuni ya Alliance in motion global lakini watu wengi walipinga. Fursa yenyewe inayotolewa ni biashara ya mtandao biashara ya ulimwengu wa sasa. Watu wanabisha wanagangani traditional business. Jamani kabla ya kuanzisha biashara tusome vitabu kama vya R.T. kiyosaki, Napolean, na wengine la sivyo tutafail kwenye biashara na kusema maisha magumu
Hyo inakuaje mkuu?Juzi nimepost thread yangu ya 2018 isikupite pasipokufanya huu uwekezaji ambayo inahusiana na fursa nzuri ya uwekezaji inayotolewa na kampuni ya Alliance in motion global lakini watu wengi walipinga. Fursa yenyewe inayotolewa ni biashara ya mtandao biashara ya ulimwengu wa sasa. Watu wanabisha wanagangani traditional business. Jamani kabla ya kuanzisha biashara tusome vitabu kama vya R.T. kiyosaki, Napolean, na wengine la sivyo tutafail kwenye biashara na kusema maisha magumu