Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
Yaan ule usemi wa kuwa ni bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadam bongo yaan bongo kila nnacho kifanya kwangu kigum nimesoma Nursing ajira zikatoka sikubahatika kwangu kuchaguliwa basi sikuwa na noma nikatuma maombi baadhi ya dispensary sikubahatika kuitwa ikabidi nifanye utaratibu wa kujiajiri nikaomba mtaji kwa mama ka laki mbili hiv nkafungua kibanda cha chipsi dah! Sipati faida nadhani huku kwenye hii biashara tena sio chuma kimekazwa ni nondo imekunjwa kabisaaaaaa yaan nachakalika lakin sipati matunda.