Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka.
Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka.
Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya Ukraine na urusi, kila kitu kimepanda kutokana na bei za mafuta bado Serikali imeshindwa hata namna ya kupunguza hili ili angalau wananchi ambao ni wa piga kura wao wapate nafuu.
SWALI HAWA WANANCHI MASIKINI WA TANZANIA WATATETEWA NA KUSAIDIWA NA NANI?.