Maisha magumu na elimu bila kukaza aaa hutoki

Eti? Mbona hueleweki! Nakuomba urudie kusoma madaftari yako ya kiswahili hasa Utungaji. Maandishi yako hayana kichwa ,tumbo, wala miguu. Kumbe wazazi waligundua mapema kuwa utapata FFFFFF+.

JF imevamiwa!
 
Eti? Mbona hueleweki! Nakuomba urudie kusoma madaftari yako ya kiswahili hasa Utungaji. Maandishi yako hayana kichwa ,tumbo, wala miguu. Kumbe wazazi waligundua mapema kuwa utapata FFFFFF+.

JF imevamiwa![/QUOT

aaa may be ww hukunielewa
 
Kweli kaka life gumu vibaya kitaa yaani hata kupata mlo wa siku mpaka umehaso vibaya upande wa pili masomo yenyewe taiti ile mbaya usiombe tena kwny shule za kata tunahangaika hadi mtu unalia mwenyewe kichwa kinauma kwa ugumu wa masomo hasa seko mbaya zaidi home msosi wa shida sijui yataisha lini haya jamani mwenye wazo zuli asaidie.
 
Si kweli mbona wengi hawana Elimu na wametoka. Sikuhizi elimu sio ishu ishu pesa tu utasota xkul ukija huku kusaka ajira unaambulia upepo bola kufuta ujinga ila hamna kitu cha maisha magumu bila Elimu
 
Sasa hii nini?Ujumbe wako ni nini kwa JF?Sio lazima upost kitu hata kama hakina maana,wewe soma za wengine upate utaalamu wa kuandika.Unaandika kama una kigugumizi bwana...
 
Nyie wanaJF gani all the time mnachallange watu? Grea thinkers hawawagi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…