Maisha magumu na elimu bila kukaza aaa hutoki

Maisha magumu na elimu bila kukaza aaa hutoki

Eti? Mbona hueleweki! Nakuomba urudie kusoma madaftari yako ya kiswahili hasa Utungaji. Maandishi yako hayana kichwa ,tumbo, wala miguu. Kumbe wazazi waligundua mapema kuwa utapata FFFFFF+.

JF imevamiwa!
 
Eti? Mbona hueleweki! Nakuomba urudie kusoma madaftari yako ya kiswahili hasa Utungaji. Maandishi yako hayana kichwa ,tumbo, wala miguu. Kumbe wazazi waligundua mapema kuwa utapata FFFFFF+.

JF imevamiwa![/QUOT

aaa may be ww hukunielewa
 
Kweli kaka life gumu vibaya kitaa yaani hata kupata mlo wa siku mpaka umehaso vibaya upande wa pili masomo yenyewe taiti ile mbaya usiombe tena kwny shule za kata tunahangaika hadi mtu unalia mwenyewe kichwa kinauma kwa ugumu wa masomo hasa seko mbaya zaidi home msosi wa shida sijui yataisha lini haya jamani mwenye wazo zuli asaidie.
 
Si kweli mbona wengi hawana Elimu na wametoka. Sikuhizi elimu sio ishu ishu pesa tu utasota xkul ukija huku kusaka ajira unaambulia upepo bola kufuta ujinga ila hamna kitu cha maisha magumu bila Elimu
 
Ni pale tu nilipomaliza standard 7 baba kanipeleka kuwa mechanic but somehow life lilinipiga nikaamua nirudi school ebwana school kwenye mambo ya ada yalichanganya wazazi halafu sio siri wazazi walikuwa wanachukulia kwamba na maliza fedha na hatimaye mwisho wangu utakuwa from four years fighting for food hivyo bora maisha ya kitaa au elimu kwa wakati huu(note elimu ni ufunguo wa maisha)
Sasa hii nini?Ujumbe wako ni nini kwa JF?Sio lazima upost kitu hata kama hakina maana,wewe soma za wengine upate utaalamu wa kuandika.Unaandika kama una kigugumizi bwana...
 
Nyie wanaJF gani all the time mnachallange watu? Grea thinkers hawawagi hivyo.
 
Back
Top Bottom