kaka unaanzisha NGO kwa lengo la kujinehemisha? ila ok tengeneza katiba yako nakala 2, majina ya waanzilishi, barua kutoka wilaya/halmashauri halafu nenda pale posta maendeleo ya jamii sajili, ukitoka hapo andaa watu wa kukuandikia proposal kutokana na nature ya NGO yako, halafu anza tafuta donors. ANGALIZO kuwa mtu wa chanel, la sivyo utaisajili na kukaa nayo mwaka 1 nyumbani na hamna kujineemesha hata mradi wa mil 3 hamna. all da best ni hayo tu.