Maisha magumu nataka kuanzisha NGO.. Msaada tafadhari..

Maisha magumu nataka kuanzisha NGO.. Msaada tafadhari..

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Heshima kwenu wana JF..

Naomba msaada namna ya kuanzisha NGO, nasikia huko ni rahisi kutoka kimaisha..

ASANTENI..
 
NGO ziko za aina nyingi taja au fafanua unataka kujishughulisha na nini
Kabla ya kujibu jipange kifkra iwe raisi kusaidiwa na isiwe NGO ya mkobani
 
asante sana mdau... nataka NGO inayodili na mazingira..
 
mkuu ... anzisha NGO ya kupinga matumizi ya mifuko laini ya plastic

nitaku-support with alternative plan
 
daaaah mdizi.. well said.. but how to start.. thats tha core point..
 
tangu lini maisha magumu yakaanzisha biashara???? jipange sawasawa!
 
kaka unaanzisha NGO kwa lengo la kujinehemisha? ila ok tengeneza katiba yako nakala 2, majina ya waanzilishi, barua kutoka wilaya/halmashauri halafu nenda pale posta maendeleo ya jamii sajili, ukitoka hapo andaa watu wa kukuandikia proposal kutokana na nature ya NGO yako, halafu anza tafuta donors. ANGALIZO kuwa mtu wa chanel, la sivyo utaisajili na kukaa nayo mwaka 1 nyumbani na hamna kujineemesha hata mradi wa mil 3 hamna. all da best ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom