Maisha magumu ndo mazuri Sasa maana vitu/huduma zinapungua Bei.

Maisha magumu ndo mazuri Sasa maana vitu/huduma zinapungua Bei.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Juzi nilipeleka simu kwa fundi ilikuwa na tatizo ambalo zamani kwa kikwete bila 7000 nisingeweza kuitengeneza.nikamkuta fundi simu mida ya mchana anapiga miayo inaonekana siku nzima alikuwa hajaingiza hela yoyote.nikampa simu kajifanya ananiambia nilete 6000 me nikafikiria nikaona maisha magumu Sasa hivi wacha nimtest Kama buku mbili ataiacha.nikamwambia Nina buku mbili tu.huku na Huku mwishowe kaichukua kaona asiiche.kwa hiyo buana maisha yakiendelea hivi hivi kubana ndo itakuwa poa.tutakuwa tunanunua mazaga kwa Bei rahisi mpaka mwenyewe unashangaa
 
Back
Top Bottom