ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana.
Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda vitu kwakuwa wanatengeneza faida mara dufu, tutakuwa kama sauzi muda c mrefu ambapo asilimia 10 tu ya watu ndo wanashikilia utajiri wa nchi yote huku asilimia 90 wakiwa ni manamba wakiwemo watumishi hoi wa Serikali.
Moja kati ya mambo yanayowatia umasikini watumishi wa uma ni Michango ya Harusi, na inawapa msongo mkubwa wa mawazo kwani hawana Hela na inabidi wachange kwani usipochanga unaweza kulogwa, kwahiyo Serikali kupitia wizara ya mambo ya kijamii inapaswa kukataza Michango hii na wale wanaooana basi wagaramikie ndoa zao, huu utamaduni ni WA kihuni na sijui uliingiaje nchini bila kupata kibali Cha Serikali.
Mshahara mpya ulivyotoka nilivizia ATM Moja wanaotumia sana watumishi wa umma hasa walimu na watumishi wa Afya, nilikaa Kwa muda mrefu Hadi walipopungua na nilifanya kuokota risiti Kwa wale walizoziacha na hawakuzichana, katika kuziangalia, kati ya risiti za ATM 20 nilizookota ni 2 tu zilikuwa zimevuka balance ya milioni Moja wengi wakichezea, laki tatu, nne, na nyingine. Ina maana Hawa watumishi kimarekani tunasema they living pay check to pay check, kwamba mshahara unaisha kabla mwingine haujatoka