Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
KabisaTangu Adam na Eva wafukuzwe bustani ya Eden maisha hayajawahi kuwa rahisi hapa Duniani
Watu mnakaulHaina ma**ko
IKawe kherNiliwahi kusikia ukiona usiku umekuwa mnene sana ujue alfajiri sio mbali kufika, kadhalika na maisha yakiwa magumu sana sio mbali sana itakuwa njema.
Najua ushapoa siwezi kukupa poleeNiny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
π₯π₯Unalalamika kama mdogo wangu Sylvester .π₯Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
Hongera hata kwa kupata chips kijana, kaka yako niko hapa nalima nikisubiri jua la jioni liondoke nikalale bila ya kupata chochote tumboni.Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
Nimegongea ty iziHongera hata kwa kupata chips kijana, kaka yako niko hapa nalima nikisubiri jua la jioni liondoke nikalale bila ya kupata chochote tumboni.
Ahaha ndio mimiπ₯π₯Unalalamika kama mdogo wangu Sylvester .π₯
AhahahaNajua ushapoa siwezi kukupa polee
AhahNdo nyie mlikuwa mnamuona darwin hana akili kwenye survival of the fittest.
Nilihisi ni wewe tu. Pambana tu ππAhaha ndio mimi
Kaka nisaidie bas 20k kesho nina dem nataka nimtoeNilihisi ni wewe tu. Pambana tu ππ
Ipi iyoPita shortcut
Imajini walikula eppo, hivi wangekula limao ingekuwaje?Tangu Adam na Eva wafukuzwe bustani ya Eden maisha hayajawahi kuwa rahisi hapa Duniani
Mjini huko mna raha sana.Nimegongea ty izi
Duh tungetaftana mchana jua kaliImajini walikula eppo, hivi wangekula limao ingekuwaje?
Au wangejichanganya wakavuta bangi π