Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #61
Achana nao bhna kwani si ulitoka mwenye tumbo. Au mpo mapachaSijui kwann mtu anakua anataka kujua unapokaa wakati kuna mda sahihi ukifika nitafunguka mwenyewe..
Sasa unakuta mpaka mzazi anakutolea maneno ya hovyo nanhayupo mjini hapa yupo mkoani et anataka ajue unaishije ishije..
Mkuu hii ni huruma kweli au kuna kingine