Maisha, Mapenzi na Utajiri wa Alikiba; Kuna mengi ya kujifunza

Huwa najiuliza sana na sipati jibu, hivi hizo nguo nyie vijana huwa mnazinunua madukani zikiwa hivyo hivyo? Manake juzi tu nimemwona kijana mmoja kavaa nguo za namna hiyo akanambia kuwa ni mpya..... Well, pamoja na kuwa niko nyuma ya muda ila hiyo ni ngumu kuimeza!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa utafiti huo hata mm tajiri, embu tafuta ditels zangu kama utazipata.
 
Kwa kutumia vigezo ulivyo tumia kuainisha utajiri wa Ali kiba, basi hata mimi ni tajiri kumbe. Nilikuwa sijijui kama mimi ni tajiri.
[emoji23][emoji4][emoji23][emoji23][emoji4]
 
nyumba ya kwanza ya king kiba aliijenga kwa pesa ya albam yake ya kwanza cinderela ambapo ilimuingizia kitu kama 200M watu wana vitu kaka ila hawana porojo na nahisi ndo uanaume.
umeongea point, tatizo watu wamesha kua na ile akili ya kubisha kila kitu ilimradi na wao waonekane
 
Anautajiri gani? Wakati anakaa kijumba kibovu pale segerea chama! Tena cha kupanga! Peleka propaganda zako hapa!
nyumba ya kwanza ya king kiba aliijenga kwa pesa ya albam yake ya kwanza cinderela ambapo ilimuingizia kitu kama 200M watu wana vitu kaka ila hawana porojo na nahisi ndo uanaume.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa utafiti huo hata mm tajiri, embu tafuta ditels zangu kama utazipata.
unaendesha gari gani kwanza tuanzie hapo, kama ni vitz au ist basi hata kwenye list ya top 10000 ya matajiri bongo haupo
 
Hahaha, waachie vijana bwana, hizo ndio fashion za kisasa
 
Today he drives a Ferrari, Jaguar, BMW and any luxury car suitable for Tanzanianroads
Mwee Ferrari??
 
wote ni wasanii wakubwa hivyo ukimuongelea Diamond lazima umtaje ali na ukimuongelea ali lazima umtaje diamond
Kwaio ukimuongelea Wizkid lazima umuongelee na Davido au Tekno sio?
 
mimi nimejifunza kila mtoto na mama yake kwa alikiba na hata dimond na mama kijacho wa dimond
 
mimi nimejifunza kila mtoto na mama yake kwa alikiba na hata dimond na mama kijacho wa dimond
hivi ni kwanini wasanii wanapenda sana kuzaa nje, ndio kutafta umaarufu au vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…