Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Amani iwe nanyi nyote wana JF,
Ama kweli katika maisha ni kufa kufaana, nikiwa nimetulia sehemu mitaa ya Dodoma Jiji, nakula kuku na kutuliza Koo kwa flying fish za moto, nikiwa na mtoto wa kisandawe pembeni, akaja mdau mmoja katupia suti kali sana na glass nyeusi.
Akanistua na kuniomba maongezi, mwamba kanichana makavu oya kuna mheshimiwa ana contact na huyo demu wako, nikastuka kivipi? mdau kasema usistuke huyu demu si anasoma pale udom social science nikajibu ndio.
Akasema nikweli huwa tunakuona nae ila mshua ana contact nae na anaomba kama hutojali uongee nae kama wanaume kiroho safi.
Bila hiana nikawaza wazee wa kitengo wakishapenda. Nikakubali boss akachukua seat kwenye meza nikaenda, fasta akanikaribishs kwa vibe moja kali la kininja na bashasha zote.
Akanichana hoya chalii najua yule demu wako ila kitambo nina crush nae nakuchana makavu naomba uniachie hio pisi, nikahamaki kivipi? Kanichana mi nakulipa uniachie huyo demu wako. Salale kuna watu wana jeuri, nikajibu poa sio mbaya jipe dau mwenyewe.
Dadadeki jamaa katoa Milioni 1 na nusu, nikaona isiwe tabu mapema sana nimeweka kwenye Mpesa , nikatimba nikamrudia demu, nikamchukua, nikaenda nae Kwa mshua, nikamchana, oya nakuongeza Heineken 5 na kuku nusu na chipsi tulia hapa na washua wangu, tulia na usifanye ushamba na uoga wowote ule mie narudi nikaongezee pesa.
Naamini mtoto wa kisandawe hawezi kuniangusha nimeondoka kisolemba huku nikiwa na vibe kama lote.
Maisha ni kushare na kushare ndio maisha nimeuza fursa maisha ndio haya haya.
Demu kitu gani bana ntapata mwingine huyu atakuwa bestie tu.
Hahahaaaa maisha matamu sana tuache ujeuri pisi zipo tuwasikilize wakubwa.
Wadiz kizuri ule na wakubwa.