Maisha matamu, tongoza anayeonesha dalili za kukuelewa achana na mamba uishi maisha marefu

Maisha matamu, tongoza anayeonesha dalili za kukuelewa achana na mamba uishi maisha marefu

Salaam JF,

Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe.

Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe.

Wadiz
Anaweza kukuelewa usimuuelewe hapo ndo kisanga kinapoanzia

Ila hii picha hii ndo my dream girl [emoji3590][emoji3590][emoji3590] ngoja nitafute pesa nije kula naye
JamiiForums-901345301.jpg
 
nimeandika kwa uchache nina maana yangu, tafsiri nyingi usi force kumpata mwanamke na usiwe na tamaa na hitaji na mwanamke asiye na hata chembe ya mvuto na wewe wala kukupenda, it's simple now but mind men are mentally busy these days, don't waste time with heart and mind games that erode ur super being.

Tafuta pesa na kama unatafuta pesa utaelewa hii kitu
 
Ushauri mzuri ila sio applicable na hauna uharisia kwenye maisha harisi haya yaliyojaa ubize na ugumu wa maisha muda wote mtu uko lesi

Unatoka home saa 11 unarudi saa 3 usiku kazi mpaka jumamosi ukifika huko job unaingia kiwandani/ofisini huyo wakukuoneeha kuwa anakuoenda kabla ya kumtongoza nani, wapii kwanini...Utakuja kuwa single milele
 
Variations zipo ila tongoza mwanamke ambae sio mshenzi hakutaki na unaona dalili ni mshenzi wewe unazogoa tu na kujitesha, hii mtanzuko wake ni mpana, ichukue kulingana na maisha na uelewa wako.
 
Back
Top Bottom