Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Mada ilibidi iwe hivi umtongoze manzi unayeona yeye mwenyewe yupo tayari kutongezwa nawewe yaani anakupa ushirikiano baada ya kuomba namba au hata kabla ujamuomba ukimuingia tu aoneshe ushirikiano sio unaomba namba anakuwa mgumu, kashakupa unachati anajibu kwa kujisikia huyo piga chiniVariations zipo ila tongoza mwanamke ambae sio mshenzi hakutaki na unaona dalili ni mshenzi wewe unazogoa tu na kujitesha, hii mtanzuko wake ni mpana, ichukue kulingana na maisha na uelewa wako.
Ila ukisema aoneshe kukupenda before wewe ujamuendea yaani anakuona tu njiani siku moja au hata kilasiku aanze kuonesha kukupenda ndugu yangu utakufa uko single binafsi ningefanya hivyo mpaka leo umri huu nisingewai kuwa na demu
Maisha ya sasa mahusiano hata kwa wanaume imekuwa Kama Basi nature inabidi awe na mtu aila life halisapoti kabisa kuanzsisha mahusiano life liko vorongovorongo