Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Anaweza kukuelewa usimuuelewe hapo ndo kisanga kinapoanziaSalaam JF,
Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe.
Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe.
Wadiz
Hii imenikuta mimi binti ananipenda kinyama ila mimi sina hisia nae hata kidogo nabaki kuhangaika na hivi vijingaAnaweza kukuelewa usimuuelewe hapo ndo kisanga kinapoanzia
Ila hii picha hii ndo my dream girl [emoji3590][emoji3590][emoji3590] ngoja nitafute pesa nije kula naye View attachment 2525710
Daaah acha tu alafu unakuta aliyekupenda sio mbaya ila tu ni kwamba sio type yakoHii imenikuta mimi binti ananipenda kinyama ila mimi sina hisia nae hata kidogo nabaki kuhangaika na hivi vijinga
kiukweli sio type yangu ila itafika muda nitamuhurumia aiseeDaaah acha tu alafu unakuta aliyekupenda sio mbaya ila tu ni kwamba sio type yako
Sema hawa wengine utawatolea jasho sana tu
Usihurumie mkuu utakuwa umepotexa shahawa zitunxe ukamkojolee msichana wa ndoto zako asee udiridhike na maisha kiasi hicho get your typekiukweli sio type yangu ila itafika muda nitamuhurumia aisee
huo siku zote ndio msimamo wangu na mimi piaUsihurumie mkuu utakuwa umepotexa shahawa zitunxe ukamkojolee msichana wa ndoto zako asee udiridhike na maisha kiasi hicho get your type
Huu ni mtazamo wangu😵
Wewe ungekua kwenye nafasi yake asingekuachia hata umshike sikiohuo siku zote ndio msimamo wangu na mimi pia
lakini dah anateseka sana aisee
They don't care...wanachojali wao ni kuumiza mioyo ya watu tu na kuendelea kuangaika na duniaSalaam JF,
Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe.
Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe.
Wadiz
ushauri nimechukua acha niendelee na msimamo wanguWewe ungekua kwenye nafasi yake asingekuachia hata umshike sikio
Ohoo kuwa logical asee huruma waachie wao hawana huruma wengi wao kama sio wote [emoji55][emoji55][emoji58] kaa chonjo mkuu
Usioe Kwa kumuhurumia mtu utaiona kila ragi baadaye😂😂😂kiukweli sio type yangu ila itafika muda nitamuhurumia aisee
Umenena vema.Salaam JF,
Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe.
Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe.
Wadiz
Ukimshindwa huyo tafuta anaefanana nae mkuu mbona wapo wngi huko karatuAnaweza kukuelewa usimuuelewe hapo ndo kisanga kinapoanzia
Ila hii picha hii ndo my dream girl [emoji3590][emoji3590][emoji3590] ngoja nitafute pesa nije kula naye View attachment 2525710
USITHUBUTU KUOA KWA HURUMA...UTAJUTA...kiukweli sio type yangu ila itafika muda nitamuhurumia aisee
Hakika akirudi inakuwa kaamka kutoka nusukaputi theatre huko, anaanza kujilaumu nimejikuta vipi kwa huyu bwegeUSITHUBUTU KUOA KWA HURUMA...UTAJUTA...
Variations zipo ila tongoza mwanamke ambae sio mshenzi hakutaki na unaona dalili ni mshenzi wewe unazogoa tu na kujitesha, hii mtanzuko wake ni mpana, ichukue kulingana na maisha na uelewa wako.Ushauri mzuri ila sio applicable na hauna uharisia kwenye maisha harisi haya yaliyojaa ubize na ugumu wa maisha muda wote mtu uko lesi
Unatoka home saa 11 unarudi saa 3 usiku kazi mpaka jumamosi ukifika huko job unaingia kiwandani/ofisini huyo wakukuoneeha kuwa anakuoenda kabla ya kumtongoza nani, wapii kwanini...Utakuja kuwa single milele