Maisha Mazuri yakija kwa Bahati mbaya ukubwani lazima uwe mswahili kama Diamond

Naona watu wame-panic ile mbaya!! Eti muziki ingekuwa sauti angemsaini Wema Sepetu.... dah! Eti jamaa anapiga show sehemu ambazo wengine wameishia kuzisoma kwenye jiografia na historia tu.....
kwani uwongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapajua MAyotte[emoji23][emoji23][emoji23]

tatizo hamtaki kuambiwa ukweli!!!
anaongea hivo kwa sababu mnamchukulia poa sana.
halafu anafanya makubwa kuliko mnavyomchukulia..
akisema ukweli kesi[emoji23]
 
Amen... Hope wamesikia
 
ndizi za kizungu
 
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.
Ulitaka awe mkenya?,mzungu?
Wivu tu unawasumbua akiongea yeye mnamwita mswahili wakiongea wengine wao wazungu eti!!??
 
Povu veeepe dua la kuku halimpati mwewe kama team jamesdelicious msiambiwe ukweli smh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwann akiongea diamond mnaita uswahili, ichoicho akiongea dimpoz au kiba hamsemi, Leo dimpoz kapost uswahili mtupu tangu post ya ujanjaujanja na saiv kapost ya wema uswahili mtupu mmeona ya diamond2, mamaaer nyie
Wasengeli tu hao..wivu dooocom..huyo dimpozi bwabwa...nyimbo kaishiwa kazi kuonyesha dimpozi tu km demu.....
Kawaida ndio hivyoo ukiwa umeloose unaropokwa tyyyuuu....wakafie mbele hukooo
 
Mafanikio ya chibu yanawauma wengi kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatamani kam afe leo.....
Na iikitokea katoweka duniani..he will still be diamond hata makumbusho sanamu lake litawekwa cz ndio msanii pekee aloitambulisha tz nje ya nchi...hao matako waende zao
 
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.
Ulitaka awe mkenya?,mzungu?
Wivu tu unawasumbua akiongea yeye mnamwita mswahili wakiongea wengine wao wazungu eti!!??
Hapo chacha hivi mtu mutie vidole machoni masikioni awaangalie tyyu...nae binadamu anaumiaa
 
Pia mm mswahili kwasabu najua kiswahili
 
Yanini jamaa anaongea mambo ya hovyo hovyo..sijui huyu diamond kaishia darasa la ngapi
 
Ila ww yalikuja vizuri emekua mzumgu
Mburula ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…