Maisha Mazuri yakija kwa Bahati mbaya ukubwani lazima uwe mswahili kama Diamond

Sijaona kibaya alicho sema na huo ndo ukweli dogo kawafungulia njia nyingi ila shukurani hawana
 
Hivi kwann akiongea diamond mnaita uswahili, ichoicho akiongea dimpoz au kiba hamsemi, Leo dimpoz kapost uswahili mtupu tangu post ya ujanjaujanja na saiv kapost ya wema uswahili mtupu mmeona ya diamond2, mamaaer nyie
Hakuna tafsiri nyingine zaidi ya kwamba wanasumbuliwa na wivu! Halafu ni juha tu ndie anaweza kusema "maisha mazuri yakija kwa bahati mbaya ukubwani....!" Kwa mazingira ya Tanzania na Africa kwa ujumla, Diamond hakupata maisha mazuri ukubwani!!! Majority wanapata angalau maisha ya kuwa na uhakika wa kesho wakiwa wamefika 30+ baada ya kuwa wameshamaliza chuo na kuajiriwa... kutoka from junior positions to middle position! Diamond kaanza kuwa na uhakika wa maisha wakati yupo below 25!!!
 
Kuku wa kizungu na Wa kienyeji wepi wanathamani kubwa?
 
Sema linakutia stress na kukufanya uwe mwingi wa wivu!!!! Lakini maajabu ya Watanzania eti leo hii askari polisi alieajiriwa mwaka 2009 kwwa cheti fake cha Form IV leo hii anamuita mtu aliyemzidi kwa kila kitu kwamba ni Mswahili!!! Baada ya wewe kuzungusha Form IV na kuamua kutumia cheti fake; huyo MSWAHILI aka-hustle Kiswahili swahili na leo huyo; anapiga shows za kutosha sehemu ambazo umeishia kuzisoma tu kwenye Jiografia na historia!!!!
 
Wee ni Dimpoz?
 
We uzungu wako ulio nao umekusaidia nini mpaka hv sasa?acheni roho mbaya au na ww unapumuliwa nini?
 
Wakome Waswahili, Waswahili ndiyo waliokupa lugha unayoiongea leo.

Mbona huongei kikwenu.

Na wewe ukome kutetea tabia za uswahili zisizo na maana. Mbona wewe hauishi kiswhali swahili? Ukome kuwapoteza watu kw akuwahamasisha tabia za kipumbavue!
 
We uzungu wako ulio nao umekusaidia nini mpaka hv sasa?acheni roho mbaya au na ww unapumuliwa nini?
Umemsaidia kutumia cheti fake cha form IV na kuajiriwa jeshi la polisi! Mimi sio mzushi, mwenyewe huyu hapa:
Kwahiyo tumsamehe tu huyo jamaa; haapo anaishi na stress za hofu ya kutumbuliwa!!!!
 
Umemsaidia kutumia cheti fake cha form IV na kuajiriwa jeshi la polisi! Mimi sio mzushi, mwenyewe huyu hapa:
Kwahiyo tumsamehe tu huyo jamaa; haapo anaishi na stress za hofu ya kutumbuliwa!!!!
Usiamini kila uonacho....
 
We mi naamini haunizid kwa chochote si kifedha au kielimu....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mashabiki wa Diamond munaongea kwa Fact kama msanii wenu Diamond[emoji23][emoji23]

Nimekuvulia kofia[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mwanaume kuwa na wivu kwa mwanaume mwenzio ni aibu. Chakarika na utoke kivyako kimaisha.
Diamond songa mbele chief!!
 
Usiamini kila uonacho....Mimi Nina Masters....
Master's hata kuandika Kiswahili hujui...
By the way, hata kama una PhD haifuti ukweli kwamba umeajiriwa kwa cheti feki na ndio maana una stress! But all in all, Is it coincidence hiyo post hapo juu umefichua siri ya kutumia cheti fake mwaka 2010 na hatimae:
Tu-assume kwamba, mwaka 2011/2012 ulianza Form V kwahiyo ulimaliza VI kwa kutumia cheti feki 2013. Again, uongozi unakuacha tu usitumikie ajira yako bali uendelee kusoma na kwahiyo 2013/2014 Ukaanza First Year chuo Kikuu! Yaani mara hii una Master's? Jibu hapana, HAIWEZEKANI na kinachowezekana ni hiki hapa ambacho umeshakisema wewe mwenyewe:
...baada ya kuingia tu kazini nikasoma Qt hiyo 2010 na 2011 nikafaulu baadae 2013 nilifanya mtihani Wa kidato cha sita na pia nilifaulu vizuri ..baada ya hapo nilijiunga na chuo kikuu huria 2013 nategemea kugraduate mwaka huu yaani 2016...
Halafu acha fix bhana... ushindwe kufaulu vizuri Form IV wakati unashinda darasani halafu uje kufaulu vizuri Form VI wakati unasoma kwa kuunga unga!!!
 
Diamond platnumz lisha ya kuwa na mambo ambayo mnaita uswahili ila bado anafanya vizuri kwenye sekta za muziki,

Ali kiba ni mkongwe lakini bado anaendelea kufanya vizuri sana kwenye game la muziki.

Siku zote watu hamkosi maneno, kila stage mtu akipitia atapewa maneno tu.
Na ukiwa mtu wa kusikiliza maneno ya watu hutofanikiwa.
Fanya kile unachoona kinafaa na kuufanya moyo wako uwe na furaha na si kufanya watakavyo watu bali utakavyo wewe.


Hata wewe mtoa mada
Leo hii ukibahatika kupata hela ndefu lazima utafanya vituko tu na watu watasema wewe ni mswahili.

Fanya unachojisikia
Binadamu kuishi nao
Kazi kweli kweli
Hawakosi la kusema.
 
[/QUOTE]
Sibishanagi na wajinga wajinga kama wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…