Ninakushinda kwa kufaulu kidato cha IV kitu ambacho wewe ulishindwa na kuishia kutumia cheki fake!!!We mi naamini haunizid kwa chochote si kifedha au kielimu....
Vp Jombaaaa... naona usha-panic na kuanza kumwaga povu....! Nilidhani wana-panic Waswahili swahili tu!!!!Sibishanagi na wajinga wajinga kama wewe,
Na jamaa keshaanza kumwaga povu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mashabiki wa Diamond munaongea kwa Fact kama msanii wenu Diamond[emoji23][emoji23]
Nimekuvulia kofia[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]
Maandiko yako yanasadifu mtu anayeishi kwa kutumia cheti fakei!!!Usiamini kila uonacho....
Nisingefaulu kidato cha IV jambo ambalo wewe lilikushinda!!!Mbona we kichwa chako kigumu kuelewa.........
Sina hofu ya kutumbuliwa kwa kutumia cheti fake!Una nini cha kujivunia mbali na kufauli kidato cha nne...????
Ngoja nithibitishe ikiwa kweli hutumii cheti fake cha Form IV! Jibu maswali yafuatayo: What's Biology?! What's the difference between Biology and Zoology? What do you understand by Mfecane? Jibu hayo kwanza.....!!!!Najua unauwezo mdogo sana Wa kufikiri lakini tumia huo huo uwezo wako mdogo ulionao kufikiri je unafikiri kwamba.......nilichokiandika pale ni kweli...!?
Ha ha ha ha ha ....Ngoja nithibitishe ikiwa kweli hutumii cheti fake cha Form IV! Jibu maswali yafuatayo: What's Biology?! What's the difference between Biology and Zoology? What do you understand by Mfecane? Jibu hayo kwanza.....!!!!
Wewe mbona unaishi na Waswahili huko Mlandizi.Na wewe ukome kutetea tabia za uswahili zisizo na maana. Mbona wewe hauishi kiswhali swahili? Ukome kuwapoteza watu kw akuwahamasisha tabia za kipumbavue!
Naam, mie Mswahili.[emoji23]weye mswahili eeh?mbona umeng'aka!!
Hahahahaha umekomesha mkuuUmemsaidia kutumia cheti fake cha form IV na kuajiriwa jeshi la polisi! Mimi sio mzushi, mwenyewe huyu hapa:
Kwahiyo tumsamehe tu huyo jamaa; haapo anaishi na stress za hofu ya kutumbuliwa!!!!
Unafikiri form six na O'level pagumu wapi?!!!Master's hata kuandika Kiswahili hujui...
By the way, hata kama una PhD haifuti ukweli kwamba umeajiriwa kwa cheti feki na ndio maana una stress! But all in all, Is it coincidence hiyo post hapo juu umefichua siri ya kutumia cheti fake mwaka 2010 na hatimae:
Tu-assume kwamba, mwaka 2011/2012 ulianza Form V kwahiyo ulimaliza VI kwa kutumia cheti feki 2013. Again, uongozi unakuacha tu usitumikie ajira yako bali uendelee kusoma na kwahiyo 2013/2014 Ukaanza First Year chuo Kikuu! Yaani mara hii una Master's? Jibu hapana, HAIWEZEKANI na kinachowezekana ni hiki hapa ambacho umeshakisema wewe mwenyewe:Halafu acha fix bhana... ushindwe kufaulu vizuri Form IV wakati unashinda darasani halafu uje kufaulu vizuri Form VI wakati unasoma kwa kuunga unga!!!
ha ha ha haAmepanic
Uswahili wake bado hakushindi wewe, kwa kuwa na muda mpaka wa kufatilia watu wa aina hiyo na mambo yao ni uswahili uliopita kiasiHivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.
Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii wake....M.k.u.le