Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAZI yenyewe ya kusaidia fundi. Ni KAZI ya kimasikini na zarau nyingi. Tunaomba Wana jukwaa wenzetu mtusaidie jamani
Kama unapata na hela ya kuweka bando ukaingia humu basi upo vizuriKAZI yenyewe ya kusaidia fundi. Ni KAZI ya kimasikini na zarau nyingi. Tunaomba Wana jukwaa wenzetu mtusaidie jamani
Endelea kufanya kazi kwa bidii pia kumbuka kujiwekea mazoea ya kujiwekea akiba kwa hiko hiko kidogo unacho pata, siku zote Mungu hamtupi mjakazi wake, ipo siku milango ya balaka itafunguka ndugu yanguHhhh wadau mnanitia moyooo.mbarikiwe sana
Alafu nyie saidia fundi na mafundi wenu mnahangaika mchana kusaka ndalama usiku mnaenda kuhonga mademu asubuhi mnarudi mpo emptyKAZI yenyewe ya kusaidia fundi. Ni KAZI ya kimasikini na zarau nyingi. Tunaomba Wana jukwaa wenzetu mtusaidie jamani
Usiandike jina la Muumba wetu kwa herufi ndogo tumia herufi kubwa "MUNGU" su "Mungu",lkn sio mungu hii humaanisha wale miungu.Jamani maisha ni magumu kwangu Tu? Au na nyinyi wenzangu.
Maana huumwaka naona kama nimechaguliwa kuwa wa mfano.
Napigakazi kama mbwa Ila pesa sina.kuzalaulika ndio mwingi.
Khaa eee mungu mwenyezi niokoe Mimi mwanao
😂😂😂
Hasa ukimaliza chuo[emoji848]Shukuru Mungu unajua unapoelekea baada ya kuoga na kupiga mswaki![emoji16]
Kuna wenzio baada ya kurudisha mswaki na kuvaa wanarudi tena kupumzika kwenye kochi kisha wakinywa chai wanarudi chumbani. Ni hatua mbaya sana kwa binadamu ambaye amefikia umri wa utu uzima.
Yah inaumiza sana watu wanachukuliaga mzaha mzaha ila sio ishu nyepesi ku deal nayo.Hasa ukimaliza chuo[emoji848]
Jamani maisha ni magumu kwangu Tu? Au na nyinyi wenzangu.
Maana huu mwaka naona kama nimechaguliwa kuwa wa mfano.
Napiga kazi kama mbwa Ila pesa sina kuzalaulika ndio mwingi.
Khaa eee Mungu mwenyezi niokoe Mimi mwanao
Ujumbe mzito sana huuShukuru Mungu unajua unapoelekea baada ya kuoga na kupiga mswaki!😁
C
Kuna wenzio baada ya kurudisha mswaki na kuvaa wanarudi tena kupumzika kwenye kochi kisha wakinywa chai wanarudi chumbani. Ni hatua mbaya sana kwa binadamu ambaye amefikia umri wa utu uzima.
Kajiunge na wenzako kupaza sauti zenu sijui kama mtagawana vya Serikali au laa 👇Jamani maisha ni magumu kwangu Tu? Au na nyinyi wenzangu.
Maana huu mwaka naona kama nimechaguliwa kuwa wa mfano.
Napiga kazi kama mbwa Ila pesa sina kuzalaulika ndio mwingi.
Khaa eee Mungu mwenyezi niokoe Mimi mwanao