Maisha mbona magumu hivi?

Maisha mbona magumu hivi?

MUNGU ndo anaepanga kila kitu... Juhudi zako katika kazi, madili na kila kitu ni kama sababu tu ambayo anaitumia kukufanya wewe ufanikiwe..
N.B kama hajakadilia iwe hivyo unavyotaka ww kwa muda huo... Hiko unachokipata ndo alichokukadilia..
#we shukuru tu [emoji41].. Dunia njia U heard?
 
Back
Top Bottom