Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #41
Unaruhusiwa kuishi kijiji chochote unachopenda, muhimu ufuate taratibu.Naunga hoja mkono. Japo Kuna baadhi ya vijiji vya nchi hii ni kama jahanamu kabisa havi support maisha kabisa ila Kuna watu wanaishi sijui Huwa wanaishije
Hahaha, pale Rau madukani Mimi huenda kunywa mbege kwa mama Munuo kila siku.Hapo ni karibu na pale Rau madukani
Hahaha, kumbe wewe ni mtoto wa huko bhana!Ngoja niende zahanati kwanza
View attachment 3659552
Kama kipato chako mwenyewe hakijatosha kumaliza vipengele vyako, kaa mbali na mapenzi na watoto wakale..Hao ni matapeli, wamesababisha vijana wengi wasitimize ndoto zao na kutengeneza wazee wa hovyo.
Tupo tunapata mbege kidogo za mtaa kwa mtaaHahaha, kumbe wewe ni mtoto wa huko bhana!
Nendeni mashambani unapata vyote hivyo unavyopenda.. Jioni kamaa hii unasikia milio ya ndege mizuri huku wapata coffess arabica ... na vijukuu vinachezea cheza tumbiliNapenda sana sehemu yenye uoto asili π₯° sehemu tulivu hakuna kelele
Bustani ya maua nyumba zisizo banana
Shida vijijini kwetu utaishia kuboreka hakuna facilities za kutosha
π₯΄π₯΄π₯΄π₯΄Vijiji vya Afrika vinanuka umaskini wa kutisha. Ukishindwa mjini ni ngumu sana kwenda kupiga hela kijijini. Mimi ninashauri vijana bora walime lami kuliko kufikiria kijijini.
Mbege ni muhimu sana mkuu. Mimi na huku kuheshimika kote nikishalewa mbege napenda juu ya parachchi na suti zangu kutungua matunda πTupo tunapata mbege kidogo za mtaa kwa mtaa
Mlete aje afanye kazi na wenzakeKama kipato chako mwenyewe hakijatosha kumaliza vipengele vyako, kaa mbali na mapenzi na watoto wakale..View attachment 3659553
Facilities kama zipi?Napenda sana sehemu yenye uoto asili π₯° sehemu tulivu hakuna kelele
Bustani ya maua nyumba zisizo banana
Shida vijijini kwetu utaishia kuboreka hakuna facilities za kutosha
Kwa Tanzania hiyo ni sehemu ya kwenda kama mapumziko sio kuweka makazi labda kama unajihusisha na kilimo &ufugajiNendeni mashambani unaoata vyote hivyo unavyopenda.. Jioni kamaa hii unasikia milio ya ndege mizuri huku wapata coffess arabica ... na vijukuu vinachezea cheza tumbili
Kwa mazingira haya, utaboreka vipiNapenda sana sehemu yenye uoto asili π₯° sehemu tulivu hakuna kelele
Bustani ya maua nyumba zisizo banana
Shida vijijini kwetu utaishia kuboreka hakuna facilities za kutosha
Sio rahisi kihivyoo huyu anafanyiwa kazi ππMlete aje afanye kazi na wenzake
View attachment 3659557
Uwekezaji wa kijijini ni gharama ndogo sana kuliko mjini.Vijiji vya Afrika vinanuka umaskini wa kutisha. Ukishindwa mjini ni ngumu sana kwenda kupiga hela kijijini. Mimi ninashauri vijana bora walime lami kuliko kufikiria kijijini.
Ni sehemu kabisa za makazi unaweza fanya inategema na aina ya maisha unataka kuishi na aina ya kipato ( uingizani wa kipato chako ukoje )Kwa Tanzania hiyo ni sehemu ya kwenda kama mapumiziko sio kuweka makazi labda kama unajihusisha na kilimo &ufugaji
Kaa naye mbali asije kukupotezea ndoto zako za kuishi kijijiniSio rahisi kihivyoo huyu anafanyiwa kazi ππView attachment 3659560
Umeona huto kwenye mapajaa ππKaa naye mbali asije kukupotezea ndoto zako za kuishi kijijini
Yupo kazini, linda kipato chakoUmeona huto kwenye mapajaa ππView attachment 3659570