Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi sana riziki huwa ndio mwanzo wa chuki. Wala isikupe shida hali hii. Kitu cha msingi wewe ni kutenda HAKI na kuishi vile inavyopaswa siyo vile ambavyo watu wanataka.Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba Chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna Cha tofauti Umefanya.
Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa hasadi (husda) zinaweza kupelekea vitendo kama hivi kutokea. Lakini inakuwaje mtu anakuonea hasadi wakati hata hafahamu maisha yako, ni lipi umebarikiwa ama lipi umenyimwa? Twambie maoni yako juu ya hili na kama umewahi kukutana na tukio la hivi, kipi ulifanya?
Na mapapai tunavyoyachukia nao unataka kusema Wana kitu ndani yao?Ukichukiwa bila sababu fahamu kuna kitu ndani yako.
karibu mkuuWewe unayeona watu wanakuchikia ndo una matatizo
Ntakuja kuelezea ili upone tatizo lako
Adui
Shetani
Husuda
Kijicho
Chuki
Haya mambo ni biashara za watu.
Ntaelezea mkuu hakuna anayekuchukia
Ukieleza nitag boss Enter PasscodeWewe unayeona watu wanakuchikia ndo una matatizo
Ntakuja kuelezea ili upone tatizo lako
Adui
Shetani
Husuda
Kijicho
Chuki
Haya mambo ni biashara za watu.
Ntaelezea mkuu hakuna anayekuchukia
Neno chuki/hate ni baya sana. Unakaaje unamchukia mtu hata uwe na sababu nini kinakufanya umchukie? Je unakua na amani umchukiapo mtu? Binafsi naona wanaume wengi hatuna hiyo roho ya kuchukia.Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna cha tofauti Umefanya.
Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa hasadi (husda) zinaweza kupelekea vitendo kama hivi kutokea. Lakini inakuwaje mtu anakuonea hasadi wakati hata hafahamu maisha yako, ni lipi umebarikiwa ama lipi umenyimwa?
Twambie maoni yako juu ya hili na kama umewahi kukutana na tukio la hivi, kipi ulifanya?