Swali zuri,atuambie package yake ni pesa Kiasi gani.Sasa mkuu watu watajuaje zinatosha wakati hata kiasi hujataja?
Oh, wewe kwaiyo ishatick?Deadline feb 18 ishapita
Kwa ujumla, gharama za maisha nchini Indonesia kama mwanafunzi hutegemea eneo na mahitaji yako. Kwa mfano, katika mji wa Jakarta gharama ya maisha ni kubwa zaidi kuliko katika miji midogo au vijijini.
Shukrani kwa ufafanuzi mkuu nimeomba chuo cha IPB kiko Bogor vipi huko ghqrama za maisha kama una taarifaKwa ujumla, gharama za maisha nchini Indonesia kama mwanafunzi hutegemea eneo na mahitaji yako. Kwa mfano, katika mji wa Jakarta gharama ya maisha ni kubwa zaidi kuliko katika miji midogo au vijijini....
Kwa mujibu wa tovuti ya IPB (Institut Pertanian Bogor), gharama ya maisha kwa mwezi kwa wanafunzi wa ndani ni kati ya 2-3 milioni Rupiah (Tsh 1,120,000 - 1,680,000) na kwa wanafunzi wa kimataifa ni kati ya 3-5 milioni Rupiah (Tsh 1,680,000 - 2,800,000). Gharama hizi zinajumuisha malazi, chakula, usafiri na gharama nyingine za kibinafsi. Hata hivyo, gharama za maisha zinaweza kutofautiana kulingana na eneo la chuo, mtindo wa maisha wa mwanafunzi na kadhalika.Shukrani kwa ufafanuzi mkuu nimeomba chuo cha IPB kiko Bogor vipi huko ghqrama za maisha kama una taarifa
Asante kwa ufafanuzi, kwa package hiyo niliyo mention hapo juu inayotolewa na Scholarahip inaweza kuwa inatosha?Kwa mujibu wa tovuti ya IPB (Institut Pertanian Bogor), gharama ya maisha kwa mwezi kwa wanafunzi wa ndani ni kati ya 2-3 milioni Rupiah (Tsh 1,120,000 - 1,680,000) na kwa wanafunzi wa kimataifa ni kati ya 3-5 milioni Rupiah (Tsh 1,680,000 - 2,800,000). Gharama hizi zinajumuisha malazi, chakula, usafiri na gharama nyingine za kibinafsi. Hata hivyo, gharama za maisha zinaweza kutofautiana kulingana na eneo la chuo, mtindo wa maisha wa mwanafunzi na kadhalika.