Maisha na jinsi ninavyoona, Ukifa leo ungetamani uwe umefanya nini kabla?

Maisha na jinsi ninavyoona, Ukifa leo ungetamani uwe umefanya nini kabla?

Hapa sitasema mengi ila ni jambo muhimu sana, kwakua nishajua tu kuwa haya maisha ndio yananipangia

Nakunavitu siwezi kwepa hata nifanye nini? Basi haina haja ya kutafuta upendo na kuogopa kifo

Wacha huzuni ije kwani kuna muda utakutana na mtu hata kwa 30min tu akakupa furaha na ndio ikawa amani yako ya mwisho duniani

Still hata nikifa kesho ningependa tu kunwambia mtu ninaye mpenda kwamba nilitamani nini sema tu muda wangu haukunipa hiyo nafasi
Kuwakamata Kikwete na mwanae kibaka na Mze Makamba na mwanae jambazi na kuwafungulia mashitaka ya wizi wa mali ya umma.
 
Back
Top Bottom