Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Emoji ya 203Sawa mkuu, kwamba uko 24 au 39 huko π π π π π daah noma sana
Emoji za 256π΅π΅π΄ππππππππππ
Emoji ya 357.Hahaha nimekaa ππππ msindi anajulikana πππ
Emoji again and again.Hatupo shule hapa ππ
Emoji ya 505Sio umwijaku mkuuu usiingilie majimbo ya watu π€£π€£π€£π€£π€£
Kuwakamata Kikwete na mwanae kibaka na Mze Makamba na mwanae jambazi na kuwafungulia mashitaka ya wizi wa mali ya umma.Hapa sitasema mengi ila ni jambo muhimu sana, kwakua nishajua tu kuwa haya maisha ndio yananipangia
Nakunavitu siwezi kwepa hata nifanye nini? Basi haina haja ya kutafuta upendo na kuogopa kifo
Wacha huzuni ije kwani kuna muda utakutana na mtu hata kwa 30min tu akakupa furaha na ndio ikawa amani yako ya mwisho duniani
Still hata nikifa kesho ningependa tu kunwambia mtu ninaye mpenda kwamba nilitamani nini sema tu muda wangu haukunipa hiyo nafasi