Maisha na maajabu yake

Maisha na maajabu yake

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
298
MAISHA NA MAAJABU YAKE

[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone

[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme

[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda

[emoji818]Aliyegundua pesa alikufa na madeni

[emoji818]Mpenz wako mpya kwa mwingine ni wa zamani

[emoji818]Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake alikuwa kiziwi (jiulize aligundua ili kumpigia nani)

[emoji818]Kuna watu wameajiriwa ila wanafundisha wengine jinsi ya kujiajili

[emoji818]Baba mlevi apendi mwanae anywe pombe

[emoji818]anayekupa ushauri wa ndoa yeye mwenyewe imemshinda

[emoji818]Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo kama RuLa

MAISHA NI SIMPLE USIPOJICHANGANYA
#2021moods
 
Aliyekuwa kiziwi sio mama yake Alexander Bell bali ni Mke wake Mabel Hubbard
 
Anaetuambia Tujiajiri ajabu nae kaajiriwa!!!
 
Motivational speaker anatoa hadithi za jinsi ya kufanikiwa wakati yeye hata Kodi ya pango hajalipa
 
MAISHA NA MAAJABU YAKE

[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone

[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme

[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda

[emoji818]Aliyegundua pesa alikufa na madeni

[emoji818]Mpenz wako mpya kwa mwingine ni wa zamani

[emoji818]Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake alikuwa kiziwi (jiulize aligundua ili kumpigia nani)

[emoji818]Kuna watu wameajiriwa ila wanafundisha wengine jinsi ya kujiajili

[emoji818]Baba mlevi apendi mwanae anywe pombe

[emoji818]anayekupa ushauri wa ndoa yeye mwenyewe imemshinda

[emoji818]Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo kama RuLa

MAISHA NI SIMPLE USIPOJICHANGANYA
#2021moods

Mengine hayana ukweli wowote ni vijistori tu vya vijiweni
 
Back
Top Bottom