Maisha na maajabu yake

Pununkila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
689
Reaction score
1,706
MAISHA NA MAAJABU YAKE

✔Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone

✔Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme🙉🙉

✔Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda🤓🤓

✔Aliyegundua pesa alikufa na madeni😪😪

✔Mpenz wako mpya kwa mwingine ni wa zamani😜😜

✔Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake alikuwa kiziwi(jiulize aligundua ili kumpigia nani)

✔Kuna watu wameajiriwa ila wanafundisha wengine jinsi ya kujiajiri 😄😄

✔Baba mlevi apendi mwanae anywe pombe🙊🤷‍♂️🤷‍♂️

✔anayekupa ushauri wa ndoa yeye mwenyewe imemshinda

✔Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo kama flat screen. 🤣🤣

MAISHA NI SIMPLE USIPOJICHANGANYA 🤪🤪🙉🙈 l
 
Mganga hajigangi
 
Mmliki wa kampuni ya IPHONE pia anatumia TECNO .... MAISHA AYA DAAAAH 😁😁😁
 
Mfanyakazi wa kiwanda cha soda anayekutengenezea soda ili unywe uumwe kisukari yeye hunywa juisi za kienyeji na maji tu.
 
...mpenz wako mpyaaa kwa wengine ni WA zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…