Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Aiseee, pole sana
 
Hongera mtoa uzi, story nzuri pia upo humble sio kama wale waliokuja na vi nyuzi vyao vya south halafu wamevikatisha wanataka wabembelezwe kama pisi kali
 
We jamaa unajua kuandika story aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vp kule jamaa na story yake ya dhahabu botswana. Nae naona Yuko mapumziko anyway nimeamua kuweka kamb apa kule nahama hi imekuwa interesting zaid
Kaka huo uzi unaitwaje? Km unaweza kuweka link niupitie ndugu
 
Habari za usiku leo niwaombe radhi tu .tulale usiku nilitarajia kuachia moja ya mwisho ila nilikuwa na wageni hivyo ndo nimeachana nao muda huu kwakweli nimechoka siwezi andika kitu cha kueleweka so natakiwa kuwa na utulivu wa akili ili kuvuta kumbukumbuku na kuunganisha matokeo kwa usahihi isijeonekana hii chai ......niwaahidi kesho naweka ndefu ndefu ila tunakaribia kumaliza .......kama kawaida kesho kazi lazima iendeleeeee ..nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania.usiku mwema
 
Hizi disappoint hizi yaani nimesubiri weeee mwishowe ndio haya, dah haya mkuu usiku mwema, tukijaaliwa[emoji106]
 
Wakati tunasubiri mwendelezo, naomba kuuliza swali moja, kwenye part ya mwisho umesema Askari waliwaelekeza bunduki, swali, je waliwaua au waliwaacha?

Swali la nyongeza, kama waliwaua, unaandika hii story ukitokea wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23],,, maswali mengine bhana!!...Sasa kama aliuwawa angesimuliaje?...we subiri sehemu ijayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23],,, maswali mengine bhana!!...Sasa kama aliuwawa angesimuliaje?...we subiri sehemu ijayo

Unajua jamaa ametuacha kwenye suspense, mpaka nashindwa kuelewa kama huyu anayeleta hii story ni yeye mwenyewe ama?
 
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…