Maisha ndio haya haya

Maisha ndio haya haya

Nina mdogo wangu wa kike nlimuuliza kwa nn wanawake waloolewa na matajiri ndo wanaongoza kucheat, akasema wanaume ma-jobless ndo huwa wako very romantic sababu wana muda wa kupoteza
Inaweza kuwa kweli mkuu, wenye pesa zao na miradi yao mikubwa wana mda mchache sana kujiingiza kwenye ngono.

Jobless na vipato vya kawaida tunawekeza huku.
 
🤣🤣🤣🤣 Rangi za upinde
watu wana mawazo machafu sanaaa hapa dunia 😅😅😅...
Screenshot_20230708-025240.png
 
Back
Top Bottom