Ukiwa hauna majivuno ukiishi na watu vizuri hata siku ukija kufulia utapata mtu wa kukunyanyua. Kuishi na watu vizuri ni hazina isiyooza hapa ulimwenguniUkiacha majivuno huwezi kufulia?
Kila mtu mwenye majivuno lazima afulie? I don't see the correlation.
Ukiwa hauna majivuno ukiishi na watu vizuri hata siku ukija kufulia utapata mtu wa kukunyanyua. Kuishi na watu vizuri ni hazina isiyooza hapa ulimwenguni
Akinyanyuka tena aache majivuno na dharau sio nzuriMwamba atanyanyuka tena.
Hata sijamfatilia nilikua sijui hata kama bado yupo hai, wambea ni binadamu walioniletea habari zakeUlipatwa bado una nguvu ya kumfatilia? Akirudi na Kei unampa wewe usijibaraguze hapa
Nimekusikia dear ntakutafuta my!uliniachia Lana coz baada ya kuachana anguko ndipo lilipoanza!ulikua na nyota ya mafanikio kwangu!nakuahidi this time Nita kupa yote uliyoyamiss kipindi kile!Leo nimepokea kwa masikitiko habari za kufulia kwa mkaka niliyewahi kuwa nae kwenye uhusiano kwa mda wa miaka 3. Nasikia amefulia ameuza kila alichokua nacho amebaki na komwe lake tu. Huyu kaka lininyanyasa sana kipindi ana vijipesa mi nikiwa kajamba nani. Alininyanyasa kisaikolojia kuna baadhi ya vitu nikikumbuka hadi leo nakua mnyonge.
Kuna siku nilimnunulia zawadi akaniuliza bei ya zawadi nilivyomwambia bei yake akanijibu i dont use cheap things keep it for yourself 🥲
Siku anaachana na mimi akaniambia relationship yetu illkuwa just for fun nothing was serious and it wasnt even a relationship it was a situationship 🥲 kumbuka hapo wakati anaongea haya tulikuwa pamoja kwa miaka 3. Halafu akaongeza nimekua nakuonesha signs zote za kutotaka kuendelea kuwa nawe lakini bado ukaendelea kuniganda. Naomba kuanzia leo usinitafute kwa namna yoyote ile its over!!
Katika maisha yangu yote hakuna kipindi moyo uliniuma kama siku ambayo alinitamkia maneno haya. Mungu si asumani sasa ivi amepigika maisha yanamnyoosha tu. Licha ya mambo yote aliyonifanyia nimesikitika sana. Mwanga wa Mungu umuangazie arudi katika hali yake ya zamani. Tuweni humble jamani maisha ndo haya haya tuache kudharau watu katika maisha haijalishi ni maisha ya kimapenzi au kikazi , hakuna mtu anayeijua kesho yake.
NB: Roby nitafute nikupe mchongo mi sina roho mbaya kama yako!
Ulitaka niseme Mungu amlaani? Mi nina roho safi hata adui wangu simuombei mabalaaWee demu mnafki tu unaona raha mchizi kushuka kimaisha afu eti unasema Mwanga wa Mungu umuangazie.
Skia huyo mchizi mpe muda Tu utafrahi na shoo.
Ahsante. Yamepita!Pole sana.
Ulizitafuta au unadhani sie hatuna ma ex,Hata sijamfatilia nilikua sijui hata kama bado yupo hai, wambea ni binadamu walioniletea habari yake
Wee kavu tu sababu ulikuwa unasubiri hilo Kwa muda limkute mchizi.Ulitaka niseme Mungu amlaani? Mi nina roho safi hata adui wangu simuombei mabalaa
Ila kusema ukweli bado una mpendaLeo nimepokea kwa masikitiko habari za kufulia kwa mkaka niliyewahi kuwa nae kwenye uhusiano kwa mda wa miaka 3. Nasikia amefulia ameuza kila alichokua nacho amebaki na komwe lake tu. Huyu kaka lininyanyasa sana kipindi ana vijipesa mi nikiwa kajamba nani. Alininyanyasa kisaikolojia kuna baadhi ya vitu nikikumbuka hadi leo nakua mnyonge.