Maisha ni jinsi uishivyo

Maisha ni jinsi uishivyo

mbinguni

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
2,759
Reaction score
1,061
Huna sababu ya kuiga mwingine anaishije. Jambo la msingi ni kufuata misingi,taratibu,kanuni na sheria husika ili uishi kwa raha.
 
Huu uzii lengo lake ninii,,,, naona unajishaur mwenyewe alafuu unajijibuu
 
Muda wa kupost hii thread ni alfajiri sana, inaelekea ukupata usingizi mkuu. Hivi ni kipi kikutikisachaso?
 
Muda wa kupost hii thread ni alfajiri sana, inaelekea ukupata usingizi mkuu. Hivi ni kipi kikutikisachaso?
Hapana. Maisha hayana kanuni rahisi. Ni vyema kuishi kwa kumtegemea Mungu zaidi kuliko mwanadamu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Tunaambiwa tuige mifani kwa walio fananikiwa na tujifnze uoni hpo tayari unakua umejifnza vtu vipya na kanuni lzma ziwe zingine?
 
U have to have vision, focus n strength of each n everything u plan to for the banneffi ov your life
 
Back
Top Bottom