smsnzurizamapenzi
Member
- Sep 29, 2020
- 15
- 36
Dah...huwa najiuliza sana hivi inawezekanaje mwanaume unakuwa na dem mmoja tu? [emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah..kwa takwimu za 2019...Bongo kuna idadi ya watu wanaofikia 55milioni....wanaume 25m na wanawake ni 30m... Ukiwatoa walioko jela…wasio riziki… wendawazimu…..wanadini(Mapadri nk)…..wazee...wagonjwa na wenye hali mbaya kiuchumi wanabaki wanaume 5m tu ..nchi nzima …..kihisabati mwanaume mmoja kwa upungufu lazima awe na wanawake wanne 🤣 🤣🤭Kwanini awe nao wengi? Rohombaya