Maisha ni kitendawili...wengi hufa bila kutegua...

The Boss, kuna wakati mwanaume asiye mcharuko + mwanamke asiye mcharuko = mahusiano yaliyo mcharuko

The science of matchmaking and compatibility is indeed complex!
 
ukitaka furaha usimwamini mtu usiweke akiba yote ya mapenzi kwa mtu bakisha kidogo

Smile, unapopenda kweli ni vigumu kuweka akiba ya mapenzi. Maana usipomuamini pia itakusumbua. Mtu una tend kupenda moja kwa moja. Yakikukuta ndio unabaki kujilaumu hivi kwa nini nilimpenda nilivyompenda.
 
Pagumu ni hapo unapompa mtu moyo wako wote yeye wala haoni thamani yake anaamua kuupondaponda na kuusugina chini kwa miguu yake.
 
Pagumu ni hapo unapompa mtu moyo wako wote yeye wala haoni thamani yake anaamua kuupondaponda na kuusugina chini kwa miguu yake.

MwaJ,kwani huwa tunafanya makusudi? Ingekuwa makusudi kina baba tusingekuwa 'tunawekeza' hivi kwa wake/gf/mahawara zetu.Hivi inayumkinika kweli Bishanga mwanamke umnunulie gari,umjengee kisha umtose hivi hivi tu kisa unataka usigine moyo wake?Hapana,mapenzi yote mwanzoni huwa yanaanza kwa nia njema hadi pale kinachowatenganisha kinapokuwa na nguvu kuliko kilichowaunganisha in the first place.
 
Bishanga, wakati mwingine ni kama makusudi. Mtu hajipi muda kupima hiyo nguvu ya kinachotaka kuwatenganisha. Anakimbilia kuamua. Kama mnatenganishwa kwa sababu za msingi au zilizo nje ya uwezo wenu sina neno. Lakini pale mnapotenganishwa na kidudu mtu just because kina sura nzuri zaidi au kizungu kizuri zaidi au familia tajiri zaidi inaumiza.
 
Naelewa dear,na kwa kweli huu ni wimbo wa kila siku humu mmu,na ndo maana wahenga walisema mkataa pema pabaya pamwita kwa sababu by the time unashtuka kuwa ulifanya mistake kuachana na mwaJ saa ingine inakuwa too late.
 
halafu mbona unaangalia upande mmoja tu? je, ni wanaume wangapi wazuri kama wewe mnaoshindwa kuwapa mapenzi ya kweli kina lulu na wema? kwani na wao hawastahili kuwa na wanaume wema na waaminifu kama wewe?
 
Ndio hapo sasa mtu anakuja kukumbuka shuka asubuhi. Hata akiomba msamaha na kulia kiasi gani haisaidii maana wakati huo so many innocent parties are involved. Mnabaki kujilaumu tu na hamna la zaidi la kufanya.
 
dola gani wewe huna lolote endelea kudanganyika
Are u ok Smile? umenielewa vipi niliposema niko bize kutafuta Shilling ya JK na nitarudi hapa kuchangia baadaye?.......niendelee kudanganyika na nini? naomba ufafanuzi.
 
The Boss na wote mliochangia uzi huu hususani WoS,Firstlady,Ashadii,Lizzy,Yummy,MadawanaManenge,Smile nawashukuruni sana sana kwa tuition.
What can i say kisu kimegusa mfupa na kama ni maji ndo yashamwagika.
Byshanga nikusaidie kuchota?
Kama ni debe zima surely unaweza ukarecover hata nusu liter.
 
Yummy asante kunitia moyo lakini kiukweli nimekata tamaa wala sikufichi. Ila basi , tufanyeje! Such is life.
Siko mdogo kiasi hicho ingawa naamini saingine pia kuwa mapenzi hayana umri.. lakini mh.
Kitendawili, tegaaaaa
Hakifumbuliki...
 
The Boss na wote mliochangia uzi huu hususani WoS,Firstlady,Ashadii,Lizzy,Yummy,MadawanaManenge,Smile nawashukuruni sana sana kwa tuition.
What can i say kisu kimegusa mfupa na kama ni maji ndo yashamwagika.

Maji yakishamwagika hayazoleki lakini kuna njia mbadala......au vipi mkuu:wink2:
 
halafu mbona unaangalia upande mmoja tu? je, ni wanaume wangapi wazuri kama wewe mnaoshindwa kuwapa mapenzi ya kweli kina lulu na wema? kwani na wao hawastahili kuwa na wanaume wema na waaminifu kama wewe?

The Boss huyu jamaa lazima anakufahamu itabidi nitafute namna ya kujipendekeza ili aniwezesha kukusogelea...lol
 
Yummy asante kunitia moyo lakini kiukweli nimekata tamaa wala sikufichi. Ila basi , tufanyeje! Such is life.
Siko mdogo kiasi hicho ingawa naamini saingine pia kuwa mapenzi hayana umri.. lakini mh.
Kitendawili, tegaaaaa
Hakifumbuliki...

Usikate tamaa mpenzi wangu,amini kuwa yote yaliotokea yana heri sio bure. Laiti kama ungejua watu wengine wamepitia nini sidhani kama ungeweza kusema umekata tamaa!!!!! Age ain't nothing my dear,alituimbia Aaliyah......kwakweli mimi nitaendelea kujipa moyo tu mpaka siku yangu ifike. Nina mifano hai ya watu wazima haswaaa,na wameanza mapenzi mmoja akiwa 60yrs mwingine 71yrs(tena mapenzi moto moto) yani malovee ya ukweli mpaka huwa nashangaaa hata mie sijawahi kupewa mahaba mazito namna hiyo, ndio ije kuwa wewe MandawaNaManenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…