Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka furaha usimwamini mtu usiweke akiba yote ya mapenzi kwa mtu bakisha kidogo
Smile, that is the most difficult examination to pass in the world. Maana ukishakuwa na akiba ya mapenzi kibindoni, lazima utampa mtu mwingine. Nakuhakikishia kwamba majority ya wale wanaotoka nje ya ndoa wameweka akiba ya mapenzi kibindoni. Sasa hiyo akiba ndiyo huwa ni rahisi sana kunyakuliwa na mafisi. Kama umeamua kumkubalia basi mpe moyo wako wote, na pale utakapoumizwa Unaamua kusahau kabisa habari za kupenda.
Pagumu ni hapo unapompa mtu moyo wako wote yeye wala haoni thamani yake anaamua kuupondaponda na kuusugina chini kwa miguu yake.
MwaJ,kwani huwa tunafanya makusudi? Ingekuwa makusudi kina baba tusingekuwa 'tunawekeza' hivi kwa wake/gf/mahawara zetu.Hivi inayumkinika kweli Bishanga mwanamke umnunulie gari,umjengee kisha umtose hivi hivi tu kisa unataka usigine moyo wake?Hapana,mapenzi yote mwanzoni huwa yanaanza kwa nia njema hadi pale kinachowatenganisha kinapokuwa na nguvu kuliko kilichowaunganisha in the first place.
Naelewa dear,na kwa kweli huu ni wimbo wa kila siku humu mmu,na ndo maana wahenga walisema mkataa pema pabaya pamwita kwa sababu by the time unashtuka kuwa ulifanya mistake kuachana na mwaJ saa ingine inakuwa too late.Bishanga, wakati mwingine ni kama makusudi. Mtu hajipi muda kupima hiyo nguvu ya kinachotaka kuwatenganisha. Anakimbilia kuamua. Kama mnatenganishwa kwa sababu za msingi au zilizo nje ya uwezo wenu sina neno. Lakini pale mnapotenganishwa na kidudu mtu just because kina sura nzuri zaidi au kizungu kizuri zaidi au familia tajiri zaidi inaumiza.
Kweli maisha ni kitendawili
na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua.....
hebu fikiria hiii
kuna wanawake na wasichana wangapi
ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na mapenzi ya kweli Kanumba'?
watakuwa ni weengi mno...maelfu na maelfu na mamilioni labda...
but tazama wanawake waliokuwa katika maisha yake
Wema Sepetu na wengine..
na mwisho akafia kwa kitoto Lulu.....
utasema hakuwahi 'kupendwa kikweli kweli na na mwanamke wa maana'
yet kuna miliions walikuwa probably wanamtaka.....awe their man forever....
maisha ni kitendawili......kikubwa....
inawezekana wewe au mimi pia tunahangaika kila siku na 'wapenzi wetu full micharuko'
hadi tunakata tamaa while kuna maelfu kila siku wanakutazama na kimoyomoyo wanasema
'ningempata mimi yule' dah....
mwisho siku ukifa ndo wanalia hadi kuzimia.....while ulipokuwa hai...
walishindwa tu namna ya kukusogelea na kufunguka labda.....
au walikusogelea ukashindwa kuwatambua ukachagua micharuko
think about it..........
Naelewa dear,na kwa kweli huu ni wimbo wa kila siku humu mmu,na ndo maana wahenga walisema mkataa pema pabaya pamwita kwa sababu by the time unashtuka kuwa ulifanya mistake kuachana na mwaJ saa ingine inakuwa too late.
Are u ok Smile? umenielewa vipi niliposema niko bize kutafuta Shilling ya JK na nitarudi hapa kuchangia baadaye?.......niendelee kudanganyika na nini? naomba ufafanuzi.dola gani wewe huna lolote endelea kudanganyika
Byshanga nikusaidie kuchota?The Boss na wote mliochangia uzi huu hususani WoS,Firstlady,Ashadii,Lizzy,Yummy,MadawanaManenge,Smile nawashukuruni sana sana kwa tuition.
What can i say kisu kimegusa mfupa na kama ni maji ndo yashamwagika.
haaaaaaaaaaa,
kongosho binti,
nimeacha, umesikia eeh.
afadhali wewe unaelewa haraka
umesoma alama za nyakati mapema.
Watu wazima tunajua haya mambo,
mimi basi binti yangu.
He he he he he, basi nifichie siri lol.
Hapo kwenye red inauma sana....unaanza kusema if only i knew,yaani hiki kitendawili jamani!
Njozi zako hazijaenda na maji, trust in God....wanasema, love comes to those who still believe even though they have been betrayed. Nina imani kuwa unaamini kila jambo linalotokea lina sababu. I truly believe that people are brought together for a reason and if God decides to tear them apart there is a reason behind. Don't give up on your dreams, you may think your dreams have been shattered but its possible that God is making some changes to them.....Just surrender your dreams to God.
The Boss na wote mliochangia uzi huu hususani WoS,Firstlady,Ashadii,Lizzy,Yummy,MadawanaManenge,Smile nawashukuruni sana sana kwa tuition.
What can i say kisu kimegusa mfupa na kama ni maji ndo yashamwagika.
halafu mbona unaangalia upande mmoja tu? je, ni wanaume wangapi wazuri kama wewe mnaoshindwa kuwapa mapenzi ya kweli kina lulu na wema? kwani na wao hawastahili kuwa na wanaume wema na waaminifu kama wewe?
Yummy asante kunitia moyo lakini kiukweli nimekata tamaa wala sikufichi. Ila basi , tufanyeje! Such is life.
Siko mdogo kiasi hicho ingawa naamini saingine pia kuwa mapenzi hayana umri.. lakini mh.
Kitendawili, tegaaaaa
Hakifumbuliki...