Maisha ni kuchagua

😁😁😁dah haya!!! Hongera zake baba mwenye nyumba
 
Angeuza gari akajenga vyumba viwili na sebule kuliko hicho kibanda kama mabomba ya serikali vijijini
 
Angeuza gari akajenga vyumba viwili na sebule kuliko hicho kibanda kama mabomba ya serikali vijijini

Maisha ni kuchagua mkuu! Mbona unamchagulia? Yeye kachagua gar na hicho kibanda unachoita[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…