Maisha ni kupanga na kupanga nikuchangua picha imenifikirisha

Maisha ni kupanga na kupanga nikuchangua picha imenifikirisha

Vito Corleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,418
Reaction score
5,257
Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu.

HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa.

Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.

1.jpg

yuko kama mimi. baada ya kupata kazi nilinenepa mpaka watu hawakuamini.

Hela tamu mzee
Dah Yani unene ndo inaonyesha una hela?

Sijui nani katuloga, unene wa kulakula kijinga ni umaskini na fikra mbovu sana, Bora wenye miili ya asili! Endeleeni kujinenepesha siku mkitaka kupunguza kilo jehanamu mtaiona
 
Ashawahi kua mwembamba uyu jamaa. Namuonaga ivo ivo enzi na enzi.
 
Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo,ni juhudi zako tu.
HAPA ni Jacob Steven,JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa.

Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.View attachment 2610751
Wakifika mjini lazama wapige picha beach au hotel maarufu wawakonge nyoyo watu.
 
Ukute ulimpenda miaka hiyo, uje ukutane nae Leo na Hilo tambiiii.....mafuta matupu sijui kama linaweza kutoa juisi
 
PESA Ni kitu kizuri Sana jamani! Pesa humpa mtu ile " peace of mind" ambayo watu wengi( typically watu masikini) hawana.

Mtu ukishaanza kuzishika hizi pesa vizuri hata hamu ya kula Sana inapungua ila kunenepa kuko nje nje.

Tutafute pesa kwa nguvu zote.
 
Kwa hiyo unatushauri tutafute Pesa ili tunenepe?
 
Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu.

HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa.

Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.

Nchi zilizojaa poverty kama zetu hizi mtu kunenepa ni dalili za kipato,wakati nchi serious watu wenye affluence ni wembamba na sio overweight kama hivi...

Magonjwa matupu kabeba hapo,still tunaona ndio affluence hiyo!
 
Back
Top Bottom