Maisha ni kupanga na kupanga nikuchangua picha imenifikirisha

Maisha ni kupanga na kupanga nikuchangua picha imenifikirisha

Nakazia Nakazia
Nchi zilizojaa poverty kama zetu hizi mtu kunenepa ni dalili za kipato,wakati nchi serious watu wenye affluence ni wembamba na sio overweight kama hivi...

Magonjwa matupu kabeba hapo,still tunaona ndio affluence hiyo!
 
Huu ni mitazamo wa huku nchi maskini kama Tz.
Ila nchi zilizoendelea unene ni tatizo na ugonjwa ( obesity).
Huko watu wengi ambao ni wanene ni maskini.
Niwashauri vijana achaneni na mtazamo huu , pingeni unene Kwa afya nzuri usije ukaanza kufikiria kuwekewa puto
 
Back
Top Bottom