Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Wahaya kwakujipakulia minyama mko vyema kama wakongoyuko kama mimi. baada ya kupata kazi nilinenepa mpaka watu hawakuamini.
Hela tamu mzee
Dah Yani unene ndo inaonyesha una hela?yuko kama mimi. baada ya kupata kazi nilinenepa mpaka watu hawakuamini.
Hela tamu mzee
Wakifika mjini lazama wapige picha beach au hotel maarufu wawakonge nyoyo watu.Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo,ni juhudi zako tu.
HAPA ni Jacob Steven,JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa.
Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.View attachment 2610751
Kwa hiyo unatushauri tutafute Pesa ili tunenepe?PESA Ni kitu kizuri Sana jamani! Pesa humpa mtu ile " peace of mind" ambayo watu wengi( typically watu masikini) hawana.
Mtu ukishaanza kuzishika hizi pesa vizuri hata hamu ya kula Sana inapungua ila kunenepa kuko nje nje.
Tutafute pesa kwa nguvu zote.
Nchi zilizojaa poverty kama zetu hizi mtu kunenepa ni dalili za kipato,wakati nchi serious watu wenye affluence ni wembamba na sio overweight kama hivi...Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu.
HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa.
Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.
Sasa kunenepa ndo utamu duh ..ukaya ukinenepa sana unaonekana rofaYuko kama mimi baada ya kupata kazi nilinenepa mpaka watu hawakuamini.
Hela tamu mzee
NakaziaAmejiachia sana!