Haipaswi kuwa hivyo, there must be a special purpose you were created for,ila huijui, kama unaijua huiendei, kama unaindea huifikii ndipo tunaona maisha yetu yana ufa mkubwa sana, ukilijua lengo halisi la maisha yako hapa duniani utafikia maximum utilization of "you" na hapo ndipo utatapata the maximum satisfaction, utafurahia maisha.
Wachache sana wamepata bahati hiyo, wengi tunajisindikiza tu including me na ndio maana kuna wakati tukijitathmini tunaona kama vile maisha hayana maana wala thamani.
Ukiuliza kwa nini hatujui makusudi ya kuumbwa kwetu, jibu ni kuwa makusudi yetu yameibiwa, yamefichwa, yameharibiwa na muharibu tukingali tuli wadogo,kwa hiyo tunayembea kwa kupapasa papasa tu.