Maisha ni kuzaliwa, kusoma, kupata kazi, kuoa/kuolewa, kupata watoto kisha yanaishia hapo au kuna kingine?

Kuna vingne ni vigum ndugu yangu.. acha tu.. for example mi napenda kuwa rasta.. ila siwez sabab job haiwezekan.. home pia hawatonielewa.. pia mfano mi ni christian ila napenda kuwa na wake wawil.... You see what am sayin?
Pole
 
Sidhan.. mbona kubwa sana dunia
Mambo makuu
1. Kuzaliwa
2. Kuishi kulingana na viwango vya Mungu
3. Kuzeeka
4. Kufa
Mahitaji muhimu maishani ni
Chakula,pa kulala na mavazi tu mengine ziada
 
Na kuacha "regasi"
 
Great!, your great thinker.

Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
 
Mnh! Mzigua, kuna lengo la wewe kuumbwa, umepewa akili basi itumie kutafuta lengo la wewe kuumbwa.

Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
 
Maisha Yana maana kubwa Sana sema akili zetu zimeshikwa kwenye matrix , vyote ulivyoongea apo Ni illusion tu havina uhalisia wa maisha Ni kma tupo kwenye move una act Kama mwalimu daktar , raisi , kichaa, mfungwa na nk, mwisho wa sku unamaliza bila kujitambua . Ndo maana Kuna watu Ni secret society wao ndo wametuset kwenye hii game ili waweze kutucontrol
 
Kwazna kuzaliwa pili mapenzi tatu kifo...

Mengine ni mbwembwe tu...
 
maisha ni wewe.ukifanikiwa kuishi kama jamii inavyotaka huko ndiko kufanikiwa kwako katika ulimwengu wa mwili,yaani uwe na shule,kazi,mke au mume,watoto,nyumba,gari huko ndiko kufanikiwa,,,.matarajio ya haya ni kuupa mwili uwezo wa kumtafuta MUNGU KWA BIDII.Ili ufanikiwe kiroho na uje kuwa tarajali katika ulimwengu mwingine wa milele.binadamu amegawanyika katika hatua mbili kuu,mwili na roho.vhivi vyote vinaitaji vifanikiwe.usipo fanikiwa kimwili roho haiwezi kufanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…