The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Maisha ni magumu sana aisee, huwezi amini mm nimeamka leo nina 2000/= tuu, nauli mpaka job 400, so nimebakiwa na buku na mia sita (1600) Jioni sijui nitafanyaje, sijanywa hata chai na mchana sijui nitafanyaje. Anyways tuendelee kupambana.
Na sisi one day yes
Na sisi one day yes