Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Habari wakuu wangu.
Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake.
Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili.
Wee jamaa kama upo humu umezingua Sana unaacha vipi watoto wako? ni afadhali ungewaaga Tu Kwamba unaenda kutafuta Maisha.
Au ungempeleka mwanamke kwako tu Mzee wangu.