Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Life ni ngumu kaka sio kwamba nimependaWee jamaa kama upo humu umezingua Sana
Kakimbia usaliti na dharau; Mwanaume akipewa moyo na mwanamke vizuri na kwa utulivu nyakati ngumu, hawezi kukimbia familia na huu ndio ukweli. Noted mkuu
kwa resaerch zangu binafi kwanzia mwaka 1990+ tumekua na kizazi dhaifu sana cha wanaume
hawawezi kusimama kama wanaume ,hawawezi kuface changamoto kiume wanafanya blunders chungu mzima
haki za mama na mtoto na kununua simu vinakua much less relevant na strength ya mwanaumeUmesahau kuwa hicho kizazi ni kizazi cha haki za mama na mtoto .
Ambapo haki za mtoto zimemezwa na mama
Kizazi ambacho baba aliakiacha Sh. 200K za kununua mahitaji ya watoto mama anachukua 150K ananua simu
Tulia mkuu nyie mnamiliki masheli ya mafutaLife ni ngumu kama sio kwamba nimependa
Shel yangu imefungiwa mwezi wa tatu sasaTulia mkuu nyie mnamiliki masheli ya mafuta
Mkuu, pole sana.Muwaangaliage wanawake tu hivyo hivyo bila kuwahurumia sana! Wana mambo mengi sana!