Maisha ni magumu sana dah

Ahahahhaah nacheka kama mazuri vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: K M
Usifute contacts kuna siku zitakufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu yapita miaka sas contact zenyew mpka tunafuta sio makusudi lakin unapojarib omba ata msaada ata tunaona kabisa mtu dili lipo lakin kukupa aonaona shida sijui wanpenda tuwe tunaonekana tupo tupo tu ndo wafurah asa watu kama hawa contact za nini sasa
 
tokea nimezaliwa sijawahi kuambiwa maisha ni mepesi,nikiwa nasoma shule ya msingi kuna walimu walijitolea miaka zaidi ya kumi,wewe mshukuru MUNGU kwa kuwa umeweza kupata hata hilo bando la halotel la kuyasema hayo humu JF.
 
Duuh
 
Hahah, na mimi imebidi nicheki tu mkuu, ila hii heading full stress

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Dah...kwa mvivu, mpiga dili na asiye mbunifu...katika zama hizi...maisha hayawezi kuwa rahisi...ukweli mchungu ..[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…