Maisha ni magumu

Maisha ni magumu

Dahh, nilikua nataka kurudi nije kuowa nitulie ila bora nikomae huku niendelee kubeba box ingawaje umri unaenda kwa kasi, ila kwa kweli mnatukatisha tamaa tunaota kuja kupumzika hme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ila kuna kuzidiyana maana inaweza kua maisha magumu lakini ukawa ukauza Nyanya tu na yakaenda kama kawaida

Kwani sasa hivi ukiuza nyanya hayo maisha hayatoenda?

Sasa hivi hakuna wanaouza nyanya?
 
Dahh, nilikua nataka kurudi nije kuowa nitulie ila bora nikomae huku niendelee kubeba box ingawaje umri unaenda kwa kasi, ila kwa kweli mnatukatisha tamaa tunaota kuja kupumzika hme

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kukatisha tamaa uo ndio uhalisia ulivyo, kuna jamaa yangu mmoja yupo Qatar mkewe yupu huku amepata misukosuko ya kikazi kidogo huko alipo ila amesema kwanza anakomaa ivoivo ila nyumbani anasema hakurudiki
 
Zamani maisha yalikuwa rahisi upo ushahidi mwingi tu

1)mtu akimaliza chuo tu na kazini moja kwa moja au wengine wakiwa hukihuko chuo.

2)kazi zilikuwa zinahitaji watu na sio watu kuhitaji..viwanda vinalazimisha watu sasahivi PEPSI wanalipa 5000/= kwa daywalker uwo msoto wakupata hiyo nafasi sio wakitoto.

3)Ongezeko la watu, hapo ndio shida zaidi now hata kibarua cha kubeba mizigo mizito watu wamejaa, kazi za kusomba taka wamejaa, kilasehemu...wauza nyanya, panzia, choroko nk

4)Ushindani, competition iliyopo sasa inauzito usiopimika kwenye sector ya Biashara na Ajira.

Maisha yanavyozidi kwenda ndio yanakuwa magumu hilo sio lakubisha.
Ni lini maisha yamewahi kuwa marahisi?

Portfolio | 2020
 
Nabisha!

Hakuna hata nyakati moja maishani mwangu ambapo nimewahi kusikia watu wakisema ‘sasa maisha ni marahisi’.

Ni silka tu ya binadamu kuona kilichopita kuwa kilikuwa kizuri au nafuu.

Hata humu JF watu tuna tabia ya kuiponda JF ya sasa kuwa imeshuka viwango kuliko ile ya zamani [2006-2009].

Mtu atakayedai maisha ya sasa hivi ni magumu kuliko yale ya enzi za maduka ya ugawaji, nitamwona ni cry baby tu asiyejua lolote.
 
Hakika kabisa
 
Hatungumzii watu wamesema tunazungumzia data zilizopo, mimi nimekupa data zenyeushahidi sio eti sijui nani kasema na sijazungumzia enzi za ujamaa sijui nini.

21'Century life is very compitative, data nikizokupa ndio zilizopo sio nani kasema nini.

Portfolio | 2020
 
Back
Top Bottom