Kuzaliwa, kusoma, kazi kisha ndoa, watoto, kujenga nyumba kusomesha watoto kisha kifo maisha ni nini?
Kuwa na pesa nyingi bank kama mzigo wa haja kwenye public toilet, maisha ni nini?
Au maisha ni pesa, mapenzi kisha furaha ndio hivyo au nimekosea?
Pengine maisha ni kuishi duniani kama peponi, kuchakaza papuchi kama zero iq au majigambo kama kidukulilo, basi maisha ni kuzaliwa na Bill Gates, bosi wa Amazon usibishe wewe uliyezaliwa na baba maskini .
Kusingekuwepo na mkopo usingefika SUA.
Maisha ni nini?