Maisha ni nini?

Maisha ni nini?

never Se me

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
702
Reaction score
1,009
Kuzaliwa, kusoma, kazi kisha ndoa, watoto, kujenga nyumba kusomesha watoto kisha kifo maisha ni nini?

Kuwa na pesa nyingi bank kama mzigo wa haja kwenye public toilet, maisha ni nini?

Au maisha ni pesa, mapenzi kisha furaha ndio hivyo au nimekosea?

Pengine maisha ni kuishi duniani kama peponi, kuchakaza papuchi kama zero iq au majigambo kama kidukulilo, basi maisha ni kuzaliwa na Bill Gates, bosi wa Amazon usibishe wewe uliyezaliwa na baba maskini .

Kusingekuwepo na mkopo usingefika SUA.

Maisha ni nini?
 
Maisha ni vile huchagua kuishi either huwe na furaha au uwe mtu wa mahasira hasira au uwe mnazi kila kitu we unabisha tu. we live only once na duniani hatujaja kuja kupata shida so enjoy life while you can usikomplicate maisha yataku fastrate. All in all you choose to get old lemutuz anamiaka 65 lakini anashinda club
 
  • Kuzaliwa
  • kuishi :- hapa ndipo tunapotofautiana (mwingine amepigika/mwingine hajapigika)
  • kufa
 
Hakuna definition moja pekee ya maisha...
 
Aise kwangu mimi maisha ni kula vizuri na kusafiri sana
 
Kuzaliwa, kusoma, kazi kisha ndoa, watoto, kujenga nyumba kusomesha watoto kisha kifo maisha ni nini?

Kuwa na pesa nyingi bank kama mzigo wa haja kwenye public toilet, maisha ni nini?

Au maisha ni pesa, mapenzi kisha furaha ndio hivyo au nimekosea?

Pengine maisha ni kuishi duniani kama peponi, kuchakaza papuchi kama zero iq au majigambo kama kidukulilo, basi maisha ni kuzaliwa na Bill Gates, bosi wa Amazon usibishe wewe uliyezaliwa na baba maskini .

Kusingekuwepo na mkopo usingefika SUA.

Maisha ni nini?
He he!
Nitakupa mfano huu.. mtu anazaliwa Kisha anatenda ya kutenda n.k,siku akifa na historia yake ikaanza kusomwa mf: marehemu alianza shule mwaka 1984 na kuhitimu chuo mwaka 1996,Kisha akapata kazi ya udaktari miaka miwili mbeleni marehemu akaoa na mwaka mmoja baadae yeye na mwenza wake wakafanikiwa kupata mtoto wa kike....n.k marehemu alikumbwa na mshtuko wa Moyo na kupelekea kifo chake.. kuanzia hapa msimuliaji akiambiwa aendelee kusimulia historia ya marehemu, hawezi simulia alichotenda marehemu bali alichotendewa mpk kuzikwa..
Hii inaonyesha maisha ni uhai,kula kunywa haya ni matendo au vitenzi kiumbe kinaweza tenda kikiwa hai,namaanisha kuwa hai ndio maisha haijalishi uliishi au utaishi maisha ya aina gani.. hivyo binafsi navyojua Maisha ni UHAI.
 
maisha n safari [emoji16][emoji16] (just joke) ila kiukweli kila mtu ana definition yake ya maisha ndo mana kuna maskn wana furaha na kuna matajiri hawana furaha
 
Back
Top Bottom